Thursday, June 13, 2013

POST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO


Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya imepata pigo jingine  kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop anaejulikana kwa jina la Langa Kileo.
 Langa  amefariki dunia  akiwa  katika  hospitali ya  Taifa  ya  Muhimbili  baada ya  kulazwa  jana  akisumbuliwa  na  malaria  kali
Zifuatazo  ni post za mwisho za facebook na twitter pamoja na video yake mpya ya marehemu Langa 
FACEBOOK:
 TWITTER
Na Hii ndio video yake ya mwisho  ya  marehemu Langa ambayo alikuwa akiipa promo kwenye tweet na facebook post yake ya mwisho.


via umbeamtupu

No comments:

Post a Comment