Thursday, June 6, 2013

KADA WA CHADEMA ALIMWA SHOKA LA MGONGONI NA WATU WANAODAIWA KUWA NI WALINZI WA CCM


Mtu  mmoja  anayedaiwa  kuwa  ni  kada  wa CHADEMA  amelimwa  shoka  la  mgongoni  na  watu  wanaodaiwa  kuwa  ni  walinzi  wa  CCM wakati  wa  harakati  za  kampeni  za  uchaguzi  wa  udiwani  huko  Arusha..
Mtu  huyo  aliyefahamika  kwa  jina  moja  la  Amos  amelazwa  katika  hospitali  ya  Mount Metu  mkoani  humo...
Mtandao  huu  unaendelea  kufuatilia  chanzo  halisi  na  undani  wa  tukio  hilo

No comments:

Post a Comment