Saturday, June 15, 2013

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA; watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha


Kwa mujibu wa aliyetoa habari hii, inaonekana bomu hilo lilitegwa karibu na gari la matangazo. Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
arusha-bomu-chadema

Mungi ameripoti  kuwa bomu limelipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha. Watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha, na wengine wajeruhiwa.

No comments:

Post a Comment