Saturday, June 15, 2013
Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA; watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha
Kwa mujibu wa aliyetoa habari hii, inaonekana bomu hilo lilitegwa karibu na gari la matangazo. Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
BABA AMKANA MTOTO KISA ANA NYWELE ZA KIARABU.....MAMA AKASIRIKA NA KUMTUPA, POLISI WAMTIA MBARONI
Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Khadija Idd anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro akidaiwa kumtupa barabarani mtoto wake mwenye umri wa miezi 6 baada ya mwanaume aliyezaa naye kumkataa.
Shuhuda
wetu ambaye ni dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Shabani,
alisema tukio hilo lilitokea Juni 11, mwaka huu maeneo ya Mafiga karibu
na Msikiti wa Mahita ambapo Khadija alichukua uamuzi huo baada ya
mwanaume aliyezaa naye kumgomea mtoto kwa madai ana nywele za Kiarabu
hivyo si wake.
Thursday, June 13, 2013
MAJINA NA KAMBI ZA JESHI WALIKOPANGIWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA 2013...TAREHE YA KURIPOTI NI 24 MWEZI HUU
TANGAZO
MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-
1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.
1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.
"NAFIKIRIA KUAHIRISHA SHOW YANGU ILA SI KWA KUMUOGOPA MWANAMKE"...MWANA FA
MSANII wa muziki wa
kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake
ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo,
kilichotokea leo jijini Dar es Salaam.
Mwana
FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho iliyopangwa kufanyika
katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na tayari
ameanza kuwasiliana na meneja wake kwa ajili ya hatua hiyo.
KILICHOSEMWA NA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUHUSU KIFO CHA MSANII LANGA
Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka juzi jioni ambapo kutokana na sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili hospitali hawawezi kusema rapper huyu alikua anaumwa nini bali ndugu ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo.
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA
DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA
SERIKALI
BREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani)
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa amefariki dunia..
GARI AINA YA TOYOTA GLANZA TURBO INAUZWA KWA SH. MILIONI TANO ..
GARI AINA YA TOYOTA GLANZA TURBO INAUZWA KWA SH. MILIONI TANO ..
LADY JAYDEE NA MWANAFA KESHO HAPATOSHI....SUGU AMPA SHAVU LADY JAYDEE NA ZITTO KABWE KALALA KWA MWANAFA
Ile the Big Square 1, show za magwiji wa muziki Tanzania
mwana FA ‘The Finest’ na Lady Jay Dee ‘Miaka 13 ya Lady Jay Dee’ zitapigwa
kesho June 14, huku presha ikiwa inaongezeka hasa kwa fans wanaotamani
kuhudhuria show walioichagua na kuona ukubwa wa show kama walivyotarajia.
PICHA ZA MAMA ALIYEKAA JUU YA PAA KWA SIKU TANO KUZUIA NYUMBA YAKE KUUZWA NA BENKI YA TIB
Huyu
mama alikaa juu ya paa kwa siku tano tangu jumamosi kupinga nyumba yao
kuchukuliwa na bank.Anasema mumewe alimdhamini mtu ambaye alichukua mkopo
bank miaka mingi iliyopita na kushindwa kulipa mkopo huo.
KIJANA WA JORDAN AJILIPUA MOTO BAADA YA KUKATALIWA KUONANA NA WAZIRI
Kijana mmoja nchini Jordan ambaye siku chache zilizopita alikataliwa kuonana na Waziri wa Ustawi wa Jamii wa Jordan na kuamua kujiteketeza, amefariki dunia hii leo kwenye hospitali ya serikali mjini Amman.
Wednesday, June 12, 2013
PICHA ZA WAKENYA WALIVYOANDAMANA JUNE 11 NA KINYAGO CHA NGURUWE NA DAMU WAKIPINGA MISHAHARA YA WABUNGE
Miungano ya kijamii ikiongozwa na Bunge la mwananchi,Muhuri
na pawa 254 miongoni mwa mengine yameandaa maandamano ya pili kupinga
juhudi za wabunge kuhujumu tume ya kuratibu mishahara nchini kenya SRC
ili kujiongezea mishahara ya hadi laki nane kinyume na ilivyopendekezwa
na SRC.
CCM YAPINGA UWEPO WA SERIKALI TATU....
DHARAU ZA PAUL KAGAME KWA USHAURI WA RAIS KIKWETE .....
DHARAU za Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jakaya
Mrisho Kikwete zimewagawa Watanzania na kuwafanya wawe na mitazamo tofauti.
MWANAMKE AFUNGWA MIAKA 3 KWA KOSA LA KUMNG'ATA MUMEWE SEHEMU ZA SIRI HUKO IRAMBA SINGIDA
"NIKIFA ASHA BARAKA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU, NA KAMA ATAKUFA YEYE BASI SITAENDA".....ALLY CHOKI
MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa.
Katika maongezi yake Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha Baraka (Mkurugenzi wa ASET) na Baraka Msilwa (Mwenyekiti wa ASET). Asha Baraka na Baraka Msilwa ni mtu na kaka yake.
KUNDI LA MATAPELI WANAODAI KUTOA MIKOPO BILA RIBA WAVAMIA ACCOUNT ZA DIAMOND NA KUTOA UJUMBE HUU...
Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.
"SIKUHUDHU"RIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"... 20 PERCENT
Akiongea
na Xdjayaz , 20 pacent alisema kuwa baba yake alikuwa ni mgonjwa kiasi cha yeye kushindwa kutoka
Tuesday, June 11, 2013
POLISI WA KITUO CHA MAGOMENI ATIMULIWA KAZI BAADA YA KUPIGA PICHA ZA NUSU UCHI
POLISI wa kike wa Kituo cha Magomeni, jijini Dar es Salaam aliyejulikana kwa jina moja la Anisa, ametimuliwa kazi kwa madai ya kupiga picha ya utupu iliyosambaa mitandaoni.
Chanzo
makini ndani ya jeshi hilo kilisema Anisa alifukuzwa kazi wiki
iliyopita baada ya kuhojiwa na mabosi wake wa makao makuu ya jeshi hilo
na kukiri kuwa picha hiyo ni yake.
BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ADAI KUWA UJIO WA RAIS OBAMA SI KWA AJILI YA RASILIMALI ZA MTANZANIA
Akiongea na waandishi wa habari jana,
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya
mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania
haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa nini
Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania? Ni kweli Rais wetu anakuja
malengo ya ziara yake yatajikita katika mambo ambayo ni malengo ya
Marekani kwa Afrika, ambayo ni uhusiano wa kiuchumi, kuimarisha
demokrasia na kuwekeza katika kujenga kizazi kijacho cha uongozi."
"KAMA NINGEKUWA RUGE NINGEMPIGIA MAGOTI LADY JAYDEE NA KUMUOMBA MSAMAHA'....SEBO WA MAGIC FM
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika katika jamii.
MBUNGE WA MTWARA ASOMEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI NA KUREJESHWA RUMANDE BAADA YA KUKOSA DHAMANA
Mbunge
wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnein Murji (kushoto) akiingia katika chumba
cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara jana kusomewa shtaka la
kufanya uchochezi. (picha: Haika Kimaro/MWANANCHI)
Mbunge
wa jimbo la Mtwara Mjini (CCM), eneo ambalo limekumbwa na vurugu hivi
karibuni kusini mwa Tanzania, Hasnein Murji na watuhumiwa wengine 91
wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani humo Jumatatu, Juni
10, 2013 akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi wa vurugu zilizosababisha
vifo vya watu watatu mwezi uliopita.
VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE
-
ASEMA CHADEMA WANAVIPAJI VYA KUSEMA UWONGO
-
ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE
TCRA YAAGIZA STAR TV IRUDISHWE MARA MOJA KATIKA VING'AMUZI VYA STAR TIMES
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times.
TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja kwenye Star Times ndani ya masaaa machache yajayo.
Friday, June 7, 2013
MTANGAZAJI WA TIMES FM ( KHADIJA SHAIBU) AJIANIKA "AKIKATA GOGO " CHOONI
MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa chooni akikata gogo.
Picha
hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila
akasema ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika
hoteli ambayo hakuitaja jina.
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo
walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema,
ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.
“Ushamba
tu, ndo nini sasa? alisema mmoja wa
wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema:
“Msimuonee wivu mwenzenu, anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”
Dida
alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi
na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana
anawawekea kwenye blogu yake.
BAADHI YA MAONI YA WATU KATIKA BLOG YAKE
MPENZI WA ALBERT NGWEA AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA MAZISHI
MAJONZI na vilio vilitawala juzi katika zoezi la kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ kwenye Viwanja vya Leaders lakini mmoja wa waliotia fora katika kuangua kilio alikuwa dada mmoja mzungu anayedaiwa kuwa alikuwa Mpenzi wa Ngwea aitwaye Misheily.
Thursday, June 6, 2013
DIVA WA CLOUDS FM NAYE ATOA PICHA YA NUSU UCHI ILI KUMTEKA PREZZO ANAYEONEKANA KUHAMISHIA PENZI KWA HUDDAH
Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva wa clouds fm ameamua kuweka picha yake
ya NUSU UCHI ili
kupotezea Aibu hiyo..
Subscribe to:
Posts (Atom)