Thursday, June 6, 2013

MAANDALIZI YA SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO



Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.
Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya maziko
Umati mkubwa wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga mwili wa msanii huyo mchana huu kabla ya maziko yake leo.

Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa.

No comments:

Post a Comment