Tuesday, May 14, 2013

MAJI YAKO SHINGONI...LADY JAYDEE ATAKA KUIKIMBIA NCHI ILI KUJINASUA



Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake  na kuelekea nchi jirani ya  KENYA ...

Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka  kujinasua  katika  migogoro  inayomkabili ambayo  tayari  iko mahakamani.... 
 
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika 


 @JideJaydee "Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?

No comments:

Post a Comment